Breaking : MATOKEO YA KIDATO CHA NNE, KIDATO CHA PILI, DARASA LA NNE, NA MAARIFA QT 2020 YAMETANGAZWA...TAZAMA HAPA

MATOKEO YA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA MAARIFA, UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI NA DARASA LA NNE KWA MWAKA 2020 YAMETANGAZWA .

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2020 yakionyesha kuwa asilimia 85 ya waliofanya mtihani huo wamefaulu.

Kwa mujibu wa Necta iliyotangaza matokeo hayo Ijumaa Januari 15, 2021 kupitia kwa katibu mtendaji wake, Dk Charles Msonde, watahiniwa 434,654 walifanya mtihani huo na 373, 958 wamefaulu katika madaraja mbalimbali.

Dk Msonde amesema kwa matokeo hayo kiwango cha ufaulu kimeongezeka kwa asilimia 5.19.

Katika mtihani huo Paul Luziga wa sekondari ya Pandahill iliyoko Mbeya amekuwa mwanafunzi wa kwanza kitaifa.

TAZAMA MATOKEO HAPA..BOFYA LINKπŸ‘‡

πŸ‘‰MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2020
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments