TCRA YATEKELEZA AGIZO LA WAZIRI NDUGULILE KUHUSU BANDO


Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Joannes Karungura akizungumza na wakuu wa makampuni ya Mawasiliano juu ya kuboresha huduma hiyo katika Kikao kilichofanyika Makao Makuu ya Mamlaka hiyo ikiwa ni agizo la Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile ya Mamlaka hiyo kukutana na wadau kujadili kuhusiana vifurushi vya Bando uliofanyika Makao Makuu Jijini Dar es Salaam.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post