Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Geita Wilayani Chato leo tarehe 07 Januari 2020 na kupokewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi.

Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi akisikiliza maelezo ya Chuo ya UfundiStadiVeta Chato mkoani Geita kabla ya kukifungua.
Ndege aina ya Boeing 737-700 iliyombeba Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi pamoja na Ujumbe wake ikiwasili katika uwanja wa Ndege wa Geita Wilayani Chato leo tarehe 07 Januari 2020.