DPP AFAFANUA ALIVYOMTOA GEREZANI KADA CHADEMA NUSRAT HANJE | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, December 2, 2020

DPP AFAFANUA ALIVYOMTOA GEREZANI KADA CHADEMA NUSRAT HANJE

  Malunde       Wednesday, December 2, 2020


Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), Biswalo Mganga ametoa ufafanuzi kuhusu kumfutia mashitaka kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Nusrat Hanje ambaye alivuliwa uanachama Novemba 27 mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari, Biswalo amesema kesi ameifuta yeye kwa mamlaka aliyonayo kisheria chini ya kifungu cha 91 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.

Amesema wanaolalamika kuwa amemfutia kesi kada huyo kinyume na taratibu wanakiuka utaratibu .

Biswalo amesema sheria ipo na inafanyakazi zake na hakuna kufanya kazi kwa upendeleo.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post