Home »
habari
,
siasa
» WANAOUTAKA USPIKA AU UNAIBU SPIKA, UMEYA,UENYEKITI HALMASHAURI WATAKIWA KUTUMA MAOMBI CCM
WANAOUTAKA USPIKA AU UNAIBU SPIKA, UMEYA,UENYEKITI HALMASHAURI WATAKIWA KUTUMA MAOMBI CCM
Chama Cha Mapinduzi kimewaalika wanachama wake wenye sifa stahiki kuomba nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge, Meya wa Majiji, Manispaa na Wenyeviti wa Halmashauri ya Wilaya.
Taarifa ya CCM imeeleza kuwa siku ya kuchukua na kurejesha fomu ni Tarehe 2 Novemba na kesho Novemba 3
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa