RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA DOMINIKA YA 32 MWAKA A KATIKA PAROKIA YA BIKIRA MARIA IMAKULATA | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, November 8, 2020

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA DOMINIKA YA 32 MWAKA A KATIKA PAROKIA YA BIKIRA MARIA IMAKULATA

  Malunde       Sunday, November 8, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki katika Misa ya Dominika ya 32 Mwaka “A” katika Parokia ya Bikira Maria Imakulata Chamwino Ikulu  Dodoma leo Jumapili Novemba 8, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakipokea Sakramenti Takatifu toka kwa Padre Paul Mapalala waliposhiriki Misa ya Dominika ya 32 Mwaka “A” katika Parokia ya Bikira Maria Imakulata Chamwino Ikulu Dodoma leo Jumapili Novemba 8, 2020.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post