MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA DHARURA SADCS ORGAN TROIKA BOTSWANA | MALUNDE 1 BLOG

Friday, November 27, 2020

MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA DHARURA SADCS ORGAN TROIKA BOTSWANA

  Malunde       Friday, November 27, 2020


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Maofisa wa Jeshi la Polisi Jijini Gaborone alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sir Seretse Khama  Nchini Botswana lep Novemba 26,2020 kwa ajili ya kumuwakilsha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  katika mkutano wa Dharura wa pamoja baina ya SADC, ORGAN TROIKA, Botswana, Malawi na Zimbabwe Nchi  Zinazochangia Vikosi vya Ulinzi  na Amani vya Umoja wa Mataifa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kwenye Kikosi cha Umoja wa Mataifa Nchini DRC  unaotarajiwa kufanyika tarehe 28 Novemba 2020 Jijini Gaborone Nchini Botswana. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post