ZITTO KABWE AANGUSHWA UBUNGE KIGOMQ MJINI...CCM WASHINDA | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, October 29, 2020

ZITTO KABWE AANGUSHWA UBUNGE KIGOMQ MJINI...CCM WASHINDA

  Malunde       Thursday, October 29, 2020


Msimamizi wa Uchaguzi katika Jimbo la Kigoma Mjini amemtangaza Kirumbe Ng'enda wa CCM kuwa Mshindi wa Ubunge wa Jimbo hilo kwa kupata kura 27,638 akifuatiwa na Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo  aliyepata kura 20,600.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post