YALIYOJIRI BARABARANI MAGUFULI AKIELEKEA DODOMA KUFUNGA KAMPENI ZA UCHAGUZI | MALUNDE 1 BLOG

Monday, October 26, 2020

YALIYOJIRI BARABARANI MAGUFULI AKIELEKEA DODOMA KUFUNGA KAMPENI ZA UCHAGUZI

  Malunde       Monday, October 26, 2020
Yaliyojiri barabara wakati Mgombea Urais Dkt John Pombe Magufuli akiwa njiani Kutoka Mkoani Manyara kuelekea Dodoma ambapo alipata nafasi ya kusalimia na kuwaomba kura zao zote siku ya Oktoba 28 mamia kwa mamia ya Watanzania waliojipanga barabarani kumlaki. Dkt John Pombe Magufuli alipata nafasi ya kuwasisitiza Watanzania wote kutofanya makosa siku ya kupiga kura kwa Kutoa kura Zote kwa CCM.

#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post