NEC YASEMA KUNA KUNDI LA WATU LIMEJIPANGA KUHARIBU TASWIRA YA UCHAGUZI | MALUNDE 1 BLOG

Saturday, October 24, 2020

NEC YASEMA KUNA KUNDI LA WATU LIMEJIPANGA KUHARIBU TASWIRA YA UCHAGUZI

  Malunde       Saturday, October 24, 2020

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imebaini kuwepo kwa kundi la watu wakiwemo baadhi ya viongozi wa juu wa vyama vya siasa waliojipanga kuharibu taswira ya uchagaguzi kwa kueneza taarifa za uzushi na uongo.

Hayo yalisemwa jana Ijumaa tarehe 23 Oktoba 2020 na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

Dk. Mahera alisema “wamejipanga kutafuta na kuweka vielelezo vya uongo na visivyo na uhalisia wakivihusisha na michakato ya uchaguzi huu kwa lengo la kuleta taharuki kwa wadau wa uchaguzi na wananchi kwa ujumla.”

Alisema, miongoni mwa mipango ya kuzusha ni wimbi linaloendelea la kudai kuwapo vituo hewa vya kupigia kura.

Soma taarifa yote ya Dk. Mahera hapa chini;


 

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post