RAIS MAGUFULI AONGEA NA RAIS WA KENYA..... AWAOMBA WATANZANIA KUIOMBEA KENYA ILI CORONA IONDOKE | MALUNDE 1 BLOG

Friday, October 9, 2020

RAIS MAGUFULI AONGEA NA RAIS WA KENYA..... AWAOMBA WATANZANIA KUIOMBEA KENYA ILI CORONA IONDOKE

  Malunde       Friday, October 9, 2020


Mgombe wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM amewaomba Watanzania kuungana na Wakenya katika maombi ya kuombea taifa hilo dhidi ya Corona.


“Kabla sijajaja kwenye mkutano huu nilikuwa naongea na mwenzangu na rafiki yetu Muheshimiwa Uhuru Kenyatta Rais wa Kenya, Ameamua nae katika kipindi cha siku tatu kwanzia leo, kesho na jumapili kumwomba ,Mungu ili ugonjwa Corona uondoke Kenya.

“Nawaomba ndugu zangu Watanzania tushirikiane katika maombi haya na wenzetu Wakenya ili ugonjwa wa Corona pia Kenya uondoke kama alivyouondoa Mungu hapa Tanzania,” amesema Dkt. Magufuli.

Dkt. Magufuli ametoa ombi hilo kabla yakutoa hutuba yake ya kampeni za Urais CCM katika Uwanja wa Mkapa leo.

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post