MGOMBEA URAIS ZANZIBAR DK. MWINYI AFANYA MAHOJIANO NA VYOMBO VYA HABARI...HAYA NDIYO YALIYOJIRI | MALUNDE 1 BLOG

Friday, October 23, 2020

MGOMBEA URAIS ZANZIBAR DK. MWINYI AFANYA MAHOJIANO NA VYOMBO VYA HABARI...HAYA NDIYO YALIYOJIRI

  Malunde       Friday, October 23, 2020
Dkt Hussein Ali Mwinyi, Mgombea Urais wa CCM Zanzibar amepata nafasi ya kufanya Mahojiano maalum na Vyombo vya Habari Leo Ijumaa Oktoba 23, 2020 ambapo amepata nafasi ya Kutolea ufafanuzi mambo mbalimbali yanayoenda kufanyika baada ya Kupata ridhaa kutoka kwa Wananchi na amejibu maswali yote ya wananchi waliokuwa wakipiga simu na kutuma Ujumbe mfupi kuuliza. Haya ndiyo aliyoyaongea Kwenye Mahojiano hayo Maalum Kutoka Zanzibar. Dkt Mwinyi amejipambanua kwa sera nzuri, anatosha.
#mwinyi2020
#YajayoniNeematupu
#T2020JPM


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post