JPM AFANYA MKUTANO MKUBWA BOMANG'OMBE... ASEMA 'MAHUDHURIO YA LEO YAMEDHIHIRISHA KWAMBA MNA JAMBO LENU" | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, October 22, 2020

JPM AFANYA MKUTANO MKUBWA BOMANG'OMBE... ASEMA 'MAHUDHURIO YA LEO YAMEDHIHIRISHA KWAMBA MNA JAMBO LENU"

  Malunde       Thursday, October 22, 2020
 Haya ndiyo aliyoyaongea Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli Kwenye Mkutano wake Mkubwa wa Kampeni Uliofanyika Kwenye Viwanja Vya Bomang'ombe, Hai Mkoani Kilimanjaro. Hai wanasema ubabaishaji kwisha, Sasa wanaenda na Wagombea wote wa CCM.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post