Nakualika Kutazama Video Mpya ya Msanii Nchaina Madirisha' Bhugakamba wa Tanzania' kutoka Kahama mkoani Shinyanga inaitwa Mhali. Ni Wimbo unaozungumza kuoa wanawake wengi. Ngoma hii imetengenezwa na Director Manwell wa Hardtone Studio
Tazama hapa chini
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako