MGOMBEA URAIS ZANZIBAR DK. HUSSEIN MWINYI AENDELEA KUMWAGA SERA....." TWENDE TUKAICHAGUE CCM, TUSIFANYE MAKOSA OKTOBA 28'


Kijana Mchapakazi, Mpole na Mwenye Maono makubwa ya Maendeleo na Kiuongozi ameendelea na Mikutano yake ya Kunadi Sera za CCM Visiwani Zanzibar. Ni Dkt Hussein Ali Mwinyi Leo Alhamisi Oktoba 22, 2020 amefanya Mkutano Mkubwa wa Kampeni Uliofanyika Dole, Zanzibar na haya ndiyo aliyoyaongea Kwenye Mkutano huo Mkubwa wa Kampeni. Zanzibar haitaki Maslahi, inaenda na Kijana mkakamavu na mwenye nguvu kubadirisha uchumi wa Zanzibar.

#YajayoniNeematupu
#Mwinyi2020

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post