JAMBO KUBWA KUTIKISA SHINYANGA OKTOBA 14... 'CRDB SHINYANGA CYCLE RALLY'.... UNAKOSAJE SASA!!

 

CRDB SHINYANGA CYCLE RALLY.....Ni Mashindano ya Mbio za BAISKEL KM 150 (Shy- Isaka) na KM80 (Shy-Tinde) yatakayo endana na Uchangiaji Damu salama viwanja wa Kambarage Siku ya Jumatano Oktoba 14,2020 na hii ni kuendeleza wiki ya pili ya huduma kwa mteja na Kumbukizi ya Mwl JULIUS KAMBARAGE NYERERE...
Pia uwanjani kutakuwa na mbio fupi za wazee na wanawake, kutakuwa na burudani mbali mbali...Muda kuanzia saa12 asubuhi hadi saa 8 Mchana.... #ULIPOTUPO#POPOTE INATIKI_14 October save the date....💥💥tuna jambo letu

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments