RAIS MAGUFULI AMTUMBUA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU DK. SEMAKAFURais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu Oktoba 5,2020 ametengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia  Dkt. Ave Maria Semakafu. Nafasi yake itajazwa baadayeDownload/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post