MGOMBEA URAIS TANZANIA DR MAGUFULI AFANYA MKUTANO MKUBWA MJINI TUNDUMA - SONGWE...HAYA NDIYO YALIYOJIRI, ALIYOYAZUNGUMZAMgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dkt John Pombe Magufuli akiunguruma mkoani Songwe Kwenye Mpaka wa Tanzania na Zambia Mjini Tunduma kwenye Viwanja Vya Mwalimu Nyerere. Haya ndiyo yaliyojiri na aliyoyazungumza kwenye mkutano huo uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi. #T2020JPM

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527