JPM AUNGURUMA ZANZIBAR..HIZI HAPA KAULI ZAKE AKIMUOMBEA KURA DR. HUSSEIN MWINYI


Habari na Picha. Yaliyojiri na aliyoyazungumza Mgombea Urais wa CCM wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwenye Mkutano Mkubwa wa Kampeni Kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar Wakati akieleza Makubwa Yaliyofanywa na Serikali ya CCM na Kumuombea Kura Mgombea Urais wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi. #T2020JPM #Mwinyi2020.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post