MAELFU WAJITOKEZA MAGUFULI AKIHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA WA KAMPENI NZEGA


Muonekano wa wananchi maelfu kwa maelfu waliojitokeza kumsikiliza Mwenyekiti wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli wakati akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Parking mjini Nzega leo Jumatano Septemba 2, 2020


 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527