DC ILALA AWATOA HOFU WANANCHI CHANIKA, AWAHAKIKISHIA SERIKALI KUWAPA UMEME | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, September 1, 2020

DC ILALA AWATOA HOFU WANANCHI CHANIKA, AWAHAKIKISHIA SERIKALI KUWAPA UMEME

  Malunde       Tuesday, September 1, 2020
Mkuu wa wilaya ya Ilala mkoa wa Dar es salaam Ng'wilabuzu Ludigija  leo Septemba 1,2020 amefanya ziara katika kata ya Chanika mtaa wa Yonge kusikiliza na kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.
Ludigija amewatoa hofu wananchi wa Chanika na kuwahakikishia kuwa watapata umeme majumbani na kwamba serikali itaendelea kutatua kero ya maji na barabara.

Hata hivyo  wananchi wamefurahia kuletewa mrejesho wa kila serikali inayotarajia kufanya katika mitaa yao na wameahidi kujitokeza katika zoezi la kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu Oktoba 28,2020
Mkuu wa wilaya ya Ilala mkoa wa Dar es salaam Ng'wilabuzu Ludigija akizungumza na wananchi katika kata ya Chanika mtaa wa Yonge kusikiliza na kutatua kero mbalimbali zinazowakabili.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post