
Tume ya Taifa ya Uchaguzi- NEC imemteua Dkt.John Pombe Magufuli kuwa mgombea wa kiti cha Rais wa Tanzania kupitia CCM na Ndug.Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais wa Tanzania.
Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage amewakabidhi seti za fomu na nyaraka mbalimbali.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako