Picha :MGOMBEA URAIS WA CHAMA CHA ACT -WAZALENDO, BENARD MEMBE ACHUKUA FOMU YA URAIS NEC


Mgombea wa kiti cha Urais kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Bernard Membe amechukua fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Agosti 07, 2020 katika Makao Makuu ya Tume ya Uchaguzi (NEC) Dodoma.


Membe amesindikizwa na viongozi mbalimbali wa chama hicho wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad na Katibu Mkuu,  Ado Shaibu



 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527