Bilionea Laizer ambaye wiki kadhaa nyuma alipata madini makubwa zaidi kuwahi kutokea ambayo aliyauza kwa serikali na kumuingiza kwenye orodha ya mabilionea wapya Tanzania, hatimae amepata madini mengine makubwa na leo anayakabidhi kwa serikali.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako