Home »
habari
» CUF YATANGAZA MAJINA 136 YA WAGOMBEA UBUNGE UCHAGUZI MKUU 2020
CUF YATANGAZA MAJINA 136 YA WAGOMBEA UBUNGE UCHAGUZI MKUU 2020
Chama Cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, kimetoa orodha ya wagombea ubunge katika majimbo 136 kati ya 264 wa chama hicho katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa