Tazama Picha : MAMIA WAJITOKEZA SHINYANGA TUNDU LISSU AKITAFUTA WADHAMINI KUGOMBEA URAIS TANZANIA | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, August 11, 2020

Tazama Picha : MAMIA WAJITOKEZA SHINYANGA TUNDU LISSU AKITAFUTA WADHAMINI KUGOMBEA URAIS TANZANIA

  Malunde       Tuesday, August 11, 2020

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Tundu Antiphas Lissu leo Jumanne 11,2020 amefika mkoani Shinyanga kutafuta wadhamini na kusalimiana na mamia ya wananchi waliojitokeza katika ofisi za CHADEMA wilaya ya Shinyanga Mjini.

Mhe. Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amekutana na Wanachama wa CHADEMA Jimbo la Kahama Mjini na Shinyanga Mjini ambapo amepata wadhamini 483 juu ya lengo lililowekwa la kupata wadhamini 200.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Mhe. Tundu Antiphas Lissu akizungumza na mamia ya wakazi wa Shinyanga waliojitokeza katika ofisi za CHADEMA wilaya ya Shinyanga Mjini wakati akitafuta wadhamini kugombea kiti cha Rais wa Tanzania. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Mhe. Tundu Antiphas Lissu akizungumza na mamia ya wakazi wa Shinyanga waliojitokeza katika ofisi za CHADEMA wilaya ya Shinyanga Mjini wakati akitafuta wadhamini kugombea kiti cha Rais wa Tanzania. 

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Mhe. Tundu Antiphas Lissu akiwasalimia wakazi wa Shinyanga waliojitokeza katika ofisi za CHADEMA wilaya ya Shinyanga Mjini.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Mhe. Tundu Antiphas Lissu akiondoka katika ofisi za CHADEMA wilaya ya Shinyanga Mjini.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Mhe. Tundu Antiphas Lissu akiondoka katika ofisi za CHADEMA wilaya ya Shinyanga Mjini.
Wakazi wa Shinyanga wakimsikiliza Tundu Lissu.
Wananchi wakitawanyika baada ya Tundu Lissu kuondoka.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post