CHADEMA YAANIKA MAJINA MENGINE YA WAGOMBEA UBUNGE...NYALANDU, SALOME MAKAMBA WAPETA | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, August 13, 2020

CHADEMA YAANIKA MAJINA MENGINE YA WAGOMBEA UBUNGE...NYALANDU, SALOME MAKAMBA WAPETA

  Malunde       Thursday, August 13, 2020
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa orodha ya pili ya majina 37 ya wagombea ubunge wa majimbo mbalimbali nchini ambapo kimemteua Lazaro Nyalandu kugombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Suzan Lyimo kugombea Jimbo la Kinondoni, Lucy Magereli Kigamboni, Salome Makamba Jimbo la Shinyanga Mjini, Gibson Ole Meiseyeki kugombea Jimbo la Arumeru Magharibi, na Aboubakar Mashambo Jimbo la Bumbuli.

Tazama hapa chini orodha ya majina ya wagombea wa Ubunge walioteuliwa.

 
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post