PETER FRANCIS ALEX ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE SHINYANGA MJINIKada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Peter Francis Alex akionesha  fomu ya kuomba ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini.

Peter Francis Alex amechukua fomu ya kuomba ridhaa CCM kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini katika ofisi za CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Julai 15,2020

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527