Picha : RAIS MAGUFULI AFIKA MSIBANI NA KUTIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA HAYATI BENJAMIN WILLIAM MKAPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amefika msibani Masaki Dar es salaam ambapo amesaini kitabu cha maombolezo na kutoa pole kwa familia ya Marehemu Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527