MBOGO MINING, WAFANYAKAZI WAOMBOLEZA KIFO CHA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA
Saturday, July 25, 2020
Mkurugenzi Mtendaji, na Wafanyakazi wa Makampuni ya Mbogo Mining na Nile Complex Plaza Limited wanatoa pole kwa Familia na Watanzania Wote, katika Maombolezo ya kifo cha Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Tatu. Mh. Benjamin W. Mkapa.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin