JOSEPHAT MWAGALA ARUDISHA FOMU KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MUFINDI KUSINI



Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Josephat Mwagala (kushoto) leo Julai 17 amefika katika Ofisi za CCM Wilaya ya Mufindi na kumkabidhi Katibu wa CCM wilaya ya Mufindi, Ndg James Mgego Fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Ubunge katika jimbo la Mufindi Kusini kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM.
Mwagala amefika ofisi za CCM akiwa ameambatana na mkewe. Picha na Zuhura Zukheyr, Iringa

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527