Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Agnes Bashemu (kushoto) akimkabidhi fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini, Jonathan Manyama Kifunda leo Julai 14,2020 katika ofisi za CCM wilaya ya Shinyanga Mjini
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako