MAMA SALMA KIKWETE ASHINDA UCHAGUZI KURA ZA MAONI JIMBO LA MCHINGA
Aliyekuwa Mbunge wa kuteuliwa ambaye pia ni Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete ameibuka mshindi kati ya wagombea 21 waliotia nia kwenye kura za maoni Jimbo la Mchinga kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kupata kura 92,Ahmaid Saidi Mderu kura 68 Riziki Lulida kura 62 na Mohamed Abdulaziz kura 52. Idadi ya wapiga kura ilikuwa 421

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post