MTOTO WA LOWASSA AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MONDULI

Mtoto wa Waziri Mkuu mstaafu Lowassa, Fredrick Lowassa leo July 21,2020, ameongoza kura za maoni katika Jimbo la Monduli mkoani Arusha baada ya kupata kura 244.


Katika nafasi ya pili yupo Julius Kalanga aliyepata kura 162 huku nafasi ya tatu ikishikiliwa na Wilson Lengima aliyepata kura 149.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post