Ofisa Programu kutoka UTPC Bw. Victor Maleko akizungumza wakati wa mafunzo maalum ya namna ya kupambana na taarifa potofu, upotoshaji wa taarifa pamoja na habari za uongo kwa waandishi wa habari Mkoa wa Kagera Februari 20,2026 katika ukumbi wa ELCT KKKT Bukoba

Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Kagera, Mbeki Mbeki akizungumza wakati wa mafunzo maalum ya namna ya kupambana na taarifa potofu, upotoshaji wa taarifa pamoja na habari za uongo kwa waandishi wa habari Mkoa wa Kagera
Afisa kutoka JamiiAfrica , Innocent Mangu akizungumza wakati wa mafunzo ya namna ya kupambana na taarifa potofu, upotoshaji wa taarifa pamoja na habari za uongo kwa waandishi wa habari Mkoa wa Kagera
Mwezeshaji wa Mafunzo ya Uthibitishaji na Uhakiki wa Taarifa Kadama Malunde kutoka Malunde Media akifundisha mbinu za kupambana na taarifa potofu, upotoshaji wa taarifa pamoja na habari za uongo kwa waandishi wa habari Mkoa wa Kagera
Na Mwandishi wetu - Kagera
Waandishi wa habari vijana kutoka vyombo mbalimbali vya habari mkoani Kagera wamepatiwa mafunzo maalum ya namna ya kupambana na taarifa potofu, upotoshaji wa taarifa pamoja na habari za uongo, ikiwa ni jitihada za kuimarisha ubora wa taarifa zinazofikishwa kwa umma.
Mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo wa kitaaluma ili waweze kuchuja na kuthibitisha taarifa kwa umakini zaidi kabla ya kuzichapisha au kuzirusha kwenye vyombo vya habari mtandaoni.
Mafunzo hayo yametolewa na wataalamu Innocent Mangu kutoka Jamii Africa pamoja na Kadama Malunde kutoka Malunde Media, ambapo washiriki wamepewa ujuzi na maarifa ya kina kuhusu mbinu za kisasa katika uandishi wa habari mitandaoni, uhakiki wa taarifa (fact-checking) na matumizi ya teknolojia za akili unde (AI) katika kuthibitisha taarifa.
Washiriki walielezwa pia umuhimu wa mwandishi kuwa makini na vyanzo vya habari ili kujenga uaminifu kwa wasomaji lakini pia kuepuka matatizo ya kisheria yanaweza kuwakuta kwa kuchapisha taarifa zisizo sahihi.
Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo, Ofisa Programu kutoka Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) Bw. Victor Maleko ameeleza kuwa ujuzi walioupata utawasaidia kukabiliana na kasi ya kusambaa kwa taarifa potofu, hasa wakati huu ambapo taarifa nyingi zinasomwa au kusambazwa kupitia mitandao ya kijamii.
Amesisitiza pia kuwa waandishi wanapotoa habari zenye taarifa sahihi na zilizothibitishwa, wanaiwezesha jamii kuwa na uelewa mzuri wa masuala mbalimbali na kufanya maamuzi sahihi yenye tija kwa maendeleo yao lakini pia kurejesha uaminifu wa jamii kwa vyombo vya habari ambapo hivi sasa unaonekana umepotea kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa hivi karibuni.
Pamoja na hayo, Maleko amewasihi waandishi wa habari waliopata bahati ya kuhudhuria mafunzo haya, kuendelea kutoa ujuzi huu kwa waandishi wengine katika vyombo wanavyofanyia kazi ili kuongeza wigo wa uelewa kuhusu mbinu za kupambana na taarifa potofu.
Mafunzo hayo yameandaliwa na Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) na Jamii Africa kwa ufadhili wa Ubalozi wa Uholanzi nchini Tanzania, ikiwa ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za kuimarisha weledi na uwajibikaji wa vyombo vya habari nchini.
Ofisa Programu kutoka Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) Bw. Victor Maleko akizungumza wakati wa mafunzo maalum ya namna ya kupambana na taarifa potofu, upotoshaji wa taarifa pamoja na habari za uongo kwa waandishi wa habari Mkoa wa Kagera Februari 20,2026 katika ukumbi wa ELCT KKKT Bukoba
Ofisa Programu kutoka UTPC Bw. Victor Maleko akizungumza wakati wa mafunzo maalum ya namna ya kupambana na taarifa potofu, upotoshaji wa taarifa pamoja na habari za uongo kwa waandishi wa habari Mkoa wa Kagera Februari 20,2026 katika ukumbi wa ELCT KKKT Bukoba
Ofisa Programu kutoka UTPC Bw. Victor Maleko akizungumza wakati wa mafunzo maalum ya namna ya kupambana na taarifa potofu, upotoshaji wa taarifa pamoja na habari za uongo kwa waandishi wa habari Mkoa wa Kagera Februari 20,2026 katika ukumbi wa ELCT KKKT Bukoba
Ofisa Programu kutoka UTPC Bw. Victor Maleko akizungumza wakati wa mafunzo maalum ya namna ya kupambana na taarifa potofu, upotoshaji wa taarifa pamoja na habari za uongo kwa waandishi wa habari Mkoa wa Kagera Februari 20,2026 katika ukumbi wa ELCT KKKT Bukoba
Ofisa Programu kutoka UTPC Bw. Victor Maleko akizungumza wakati wa mafunzo maalum ya namna ya kupambana na taarifa potofu, upotoshaji wa taarifa pamoja na habari za uongo kwa waandishi wa habari Mkoa wa Kagera
Ofisa Programu kutoka UTPC Bw. Victor Maleko akizungumza wakati wa mafunzo maalum ya namna ya kupambana na taarifa potofu, upotoshaji wa taarifa pamoja na habari za uongo kwa waandishi wa habari Mkoa wa Kagera
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Kagera, Mbeki Mbeki akizungumza wakati wa mafunzo maalum ya namna ya kupambana na taarifa potofu, upotoshaji wa taarifa pamoja na habari za uongo kwa waandishi wa habari Mkoa wa Kagera
Afisa kutoka JamiiAfrica , Innocent Mangu akitoa mafunzo ya namna ya kupambana na taarifa potofu, upotoshaji wa taarifa pamoja na habari za uongo kwa waandishi wa habari Mkoa wa Kagera

Social Plugin