JAMES LEMBELI ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE KAHAMA MJINI | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, July 16, 2020

JAMES LEMBELI ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE KAHAMA MJINI

  Malunde       Thursday, July 16, 2020
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo La Kahama kwa Kipindi cha Mwaka 2005-2015 James Daudi Lembeli Leo Julai 16, 2020 amechukua fomu ya Kuomba ridhaa ya Kuteuliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini Kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).  Kushoto ni Katibu wa CCM wilaya ya Kahama Emanuel Mbamange. Picha na Salvatory Ntandu 
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post