FURAHA DOMINICK ASHINDA KURA ZA MAONI JIMBO LA KAWE... ASKOFU GWAJIMA NAMBA TATU
Furaha Dominic Jacob ameibuka mshindi wa kura za maoni Jimbo la Kawe, Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura 101 kati ya 475. Angela Kiziga amekuwa wa pili kwa kura 85 na wa tatu, Askofu Josephat Gwajima kura 79.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post