BABU TALE AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MOROGORO KUSINI


Hamisi Taletale (Babu Tale), ameongoza kwenye kura za maoni katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki kwa kupata kura 318, akifuatiwa na Naibu Waziri wa Kilimo Omary Mgumba aliyepata kura 242 na wa tatu ni Kibena Kingo aliyepata kura 40.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post