GODFREY MGIMWA AANGUKIA PUA JIMBO LA KALENGA... JACKSON KISWAGA AONGOZA KURA ZA MAONI


Mbunge anayemaliza muda wake wa Kalenga Mkoa wa Iringa, Godfrey Mgimwa ameshindwa kura za maoni kwa kupata kura saba dhidi ya Jackson Kiswaga aliyepata kura 221 akifuatiwa na Leo Martin Mavika kura 149 na Bryson Kibasa kura 33. Wapiga kura walikuwa 589

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post