BANDORA SALUM MIRAMBO ARUDISHA FOMU YA KUWANIA UBUNGE SHINYANGA MJINI


Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bandora Salum Mirambo amerudisha fomu ya kuomba ridhaa Chama Cha Mapinduzi kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Julai 16,2020 majira ya saa 6 na robo mchana katika ofisi za CCM wilaya ya Shinyanga Mjini.

Bandora Salum Mirambo ambaye ni Mfanyabiashara mkazi wa Ngokolo Manispaa ya Shinyanga alichukua fomu ya kuomba ridhaa Chama Cha Mapinduzi kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Julai 14,2020.
Bandora Salum Mirambo akirudisha fomu ya kuomba ridhaa Chama Cha Mapinduzi kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Agnes Bashemu (kushoto). Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527