TRUMP AAMURU BENDERA KUPEPEA NUSU MLINGOTI ...VIFO VYA CORONA MAREKANI KUFIKIA 96,363 | MALUNDE 1 BLOG

Friday, May 22, 2020

TRUMP AAMURU BENDERA KUPEPEA NUSU MLINGOTI ...VIFO VYA CORONA MAREKANI KUFIKIA 96,363

  Malunde       Friday, May 22, 2020

Rais wa Marekani Donald Trump ametoa amri jana ya bendera kushushwa nusu mlingoti kwa siku tatu mfululizo, kuomboleza vifo vya Wamarekani waliokufa kutokana na virusi vya corona. 

Trump ameamrisha hatua hiyo, baada ya idadi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa COVID-19 kufika  96,363 nchini humo.

 Aidha Trump amesema bendera zitabakia nusu mlingoti Jumatatu ijayo ambayo ni Siku ya Mashujaa nchini humo, kuwakumbuka wale ambao wamepoteza maisha wakilitumikia jeshi la Marekani.

 Ingawa idadi ya vifo vya kila siku nchini humo haikuongezeka, watu bado wanaendelea kupoteza maisha, na hesabu kamili inapindukia vifo  96,363  - likitajwa kuwa ni taifa lenye vifo vingi ulimwenguni.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post