Tanzia: MKUU WA WILAYA YA NYANG'WALE MKOANI GEITA, HAMIM BUZOHERA GWIYAMA AFARIKI DUNIA | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, May 7, 2020

Tanzia: MKUU WA WILAYA YA NYANG'WALE MKOANI GEITA, HAMIM BUZOHERA GWIYAMA AFARIKI DUNIA

  Malunde       Thursday, May 7, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoa wa Geita,  Hamim Buzohera Gwiyama, amefariki leo Mei 7, 2020 Saa 5:00 Asubuhi katika Hospitali ya Rufaa Bugando baada ya kuugua kwa muda mfupi.


Taarifa ya msiba huo imetolewa na Waziri wa Nchi - TAMISEMI Selemani Jafo.

Marehemu Hamim Buzohera Gwiyama aliteuliwa na Rais John Magufuli Juni 26, 2016 kuwa mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale.

Aidha Waziri wa Nchi - TAMISEMI Selemani Jafo ametoa pole wa familia na ndugu na kueleza taarifa zaidi kuhusu mazishi zitatolewa na Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Geita.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post