SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI (TFF) WAFUNGUKA KUHUSU KUREJEA KWA MICHUANO YA LIGI KUU


Shirikisho la soka nchini (TFF), limeweka wazi kuwa linashirikiana na Bodi ya Ligi (TPLB), kuhakikisha ligi kuu inarejea, lakini bado mchakato huo ni wa ndani kwani unategemea tamko la serikali juu ya mwenendo wa janga la Corona.


Taarifa ya TFF leo Mei 5, 2020 imeeleza kuwa mchakato wa ndani kati ya shirikisho na Bodi pamoja na wadau ikiwemo vilabu unaendelea


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post