RATIBA YA MAZISHI YA ALIYEKUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA BALOZI DKT AUGUSTINE MAHIGA


Makamu wa Rais,Mama Samia Suluhu Hassan, leo  Mei 2, 2020,  ataongoza mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Augustine Mahiga, aliyefariki dunia jana. 


Dkt. Mahiga mwanadiplomasia mkongwe aliyeitumikia nchi kwa weledi, atazikwa alasiri Tosamaganga, Iringa.

Msemaji Mkuu wa Serikali.Dkt. Hassan Abbas ametoa taarifa hiyo.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post