KIONGOZI WA KOREA KASKAZINI KIM JONG UN AJITOKEZA HADHARANI KWA MARA YA KWANZA BAADA YA UVUMI KUZUSHIWA AMEFARIKI DUNIA


Kim Jong Un amejitokeza hadharani kwa mara ya kwanza baada ya kutoonekana kwa takribani wiki tatu hadi kupelekea uvumi wa kwamba anaugua na huenda amefariki dunia.

Shirika la Habari la Korea Kaskazini(KCNA) limesema Kim Jana May 01, 2020 alikata utepe kwenye uzinduzi wa kiwanda cha mbolea eneo la sunchon.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post