Picha : MWILI WA BALOZI DKT. AUGUSTINE MAHIGA UKIWASILI NYUMBANI KWAKE


Mwili wa aliyekuwa waziri wa katiba na sheria Balozi Dkt. Augustine Mahiga, ukishushwa nyumbani kwake Gangilonga mjini Iringa kwaajili ya taratibu za kuuaga kabla ya kuelekea eneo alipozaliwa Tosamaganga nje kidogo ya mji wa Iringa kwa ibada ya  mazishi.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post