WENYE VIRUSI VYA CORONA NCHINI KENYA WAFIKA 197

Idadi ya visa vya waathirika wa ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona nchini Kenya imeongezeka na kufikia 197, baada ya hii leo kutangaza visa vipya sita.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post