WATOTO 11 WAAMBUKIZWA CORONA UGANDA...IDADI KAMILI YAFIKIA 44 | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, April 1, 2020

WATOTO 11 WAAMBUKIZWA CORONA UGANDA...IDADI KAMILI YAFIKIA 44

  Malunde       Wednesday, April 1, 2020
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza maambukizi mapya ya watu 11 ya ugonjwa wa Corona nchini humo, wakiwemo baadhi ya wanakwaya wa kwaya maarufu nchini humo 'Watoto Children's Choir.

Kupitia matangazo ya televisheni, alisema kuwa wagonjwa wote wapya walikuwa karantini baada ya kurejea kutoa ughaibuni , ingawa hakueleza afya zao zikoje kwa sasa na walikuwa wametoka taifa gani.

Mara nyingi kwaya hiyo huwa inatumbuiza katika nchi za ughaibuni kama Marekani, Canada na Uingereza.

Mpaka sasa Uganda imethibitisha kuwa na wagonjwa wa Corona 44.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post