RAIS MAGUFULI AWATAKA WATANZANIA WATUMIE SIKU 3 KUSALI ILI MUNGU ATUEPUSHE NA JANGA LA CORONA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka Watanzania kutumia siku 3 kwaajili ya kusali kuepuka Janga la Ugonjwa wa Corona.Kupitia ukurasa wake wa Twitter Rais Magufuli aliandika…“Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na Jumapili} kumuomba Mwenyezi Mungu aliye muweza wa yote atuepushe na janga la ugonjwa huu, tusali kila mmoja kwa imani yake, atatusikia”Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post