WALIOPONA VIRUSI VYA CORONA NCHINI TANZANIA WAFIKA WATANO | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, April 7, 2020

WALIOPONA VIRUSI VYA CORONA NCHINI TANZANIA WAFIKA WATANO

  Malunde       Tuesday, April 7, 2020

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema wagonjwa wengine  2 wa Corona hapa nchini  wamepona na kufanya idadi ya waliopona kufika 5 huku kifo kikiwa ni kimoja.


Amesema kati ya wagonjwa hao, Dar es Salaam - 1 na Arusha - 1.  Hivyo sasa Mkoa wa Arusha hauna mtu mwenye maambukizi ya COVID19. 

Waziri Ummy amewataka Watanzania waendelee kuzingatia maelekezo ya Wataalam wa Afya ikiwemo kuepuka mikusanyiko na misongamano  isiyo ya lazima


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post